10000+
Wakulima Wawezeshwa
Maisha yanabadilishwa kupitia nishati ya jua
Simusolar inafanya biashara ziwe zenye tija kupitia mifumo nafuu ya umwagiliaji inayotumia nishati ya jua, mashine za kuchakata mazao ya kilimo na umeme usiotegemea gridi ya Taifa.
Tangu 2016, tumekua tukibadilisha maisha kupitia suluhisho la nishati endelevu ya jua.
10000+
Maisha yanabadilishwa kupitia nishati ya jua
10000+
Aridhi imefanywa kuwa katika matumizi endelevu
98%
Kwa wastani kumekuwa na Ongezeko la mapato kwa wakulima
10
Kuihudumia jamii yote ya Tanzania
Huduma kamili za nishati ya jua zilizoundwa kukidhi mahitaji yako maalum
Mifumo bora ya kusukuma maji inayotumia nishati ya jua kwa umwagiliaji, mifugo na matumizi ya nyumbani.
Huduma za kiwango za matengenezo na msaada ili kuhakikisha mfumo wako ya sola unafanya kazi kwa kiwango cha juu kabisa.
Kuza biashara yako kupitia suluhisho la nishati endelevu. Kupunguza gharama za uendesheaji kufikia malengo endelevu
Kuza biashara yako kupitia suluhisho la nishati endelevu. Kupunguza gharama za uendesheaji kufikia malengo endelevu.
Tumejitolea kutoa huduma ya kiwango cha juu katika kila nyanja ya huduma yetu
Tunatumia vifaa vyenye ubora zaidi, vilivyoidhinishwa vya nishati ya jua kutoka kwa watengenezaji mahiri na dhamana za muda mrefu.
Wahandisi na mafundi wetu waliothibitishwa huleta uzoefu wao wa miaka katika usakinishaji/ufungaji na matengenezo ya sola.
Tunatoa usaizidizi wa kina na Huduma za mategenezo baada ya mauziano ili kuhakikisha mfumo wako unafanya kazi vizuri kwa miaka.
Mipango rahisi ya malipo na chaguzi za ufadhili ili kupata matumizi ya jua na kwa bei nafuu.
Sikiliza wakulima na wafanyabiashara ambao wameiamini Simusolar kwa mahitaji yao ya nishati
Endehsa nyumba yako kwa nishati safi ya jua na ya uhakika. Upunguza bili za umeme na ufurahie upatikanaji wa umeme usio-katika katika
Chunguza wilaya na vijiji mbalimbali ambapo suluhu zetu za nishati ya jua zinabadilisha maisha.
Jiunge na maelfu ya wateja walioridhika na huduma, ambao tayari wamegeukia nishati safi, ya uhakika ya jua. Pata ushauri wako leo bila malipo!